GM FM 97.3 sasa inapatikana ONLINE
Sikiliza GM FM moja kwa moja kupitia internet ukiwa popote duniani.
Karibu GM FM 97.3 — kituo chako cha habari, burudani, michezo na mijadala inayogusa jamii. Kutoka Nyakato, Musoma, Tanzania hadi popote duniani.
Sikiliza matangazo ya GM FM moja kwa moja kutoka Musoma.
Ratiba ya vipindi vyetu
Anza siku yako na GM FM. Habari, burudani, mijadala na taarifa muhimu za siku.
Mijadala, maoni na masuala mbalimbali yanayogusa maisha ya jamii.
Muziki, burudani na stori mbalimbali zinazokupa ladha ya siku.
Endesha siku yako ukiwa na muziki, habari, burudani na updates mbalimbali.
Habari za michezo, matukio, maoni ya mashabiki na taarifa kutoka viwanjani.
GM FM 97.3 inapatikana online. Sikiliza ukiwa popote duniani.
GM FM inakufikisha kwenye matukio ya michezo, sauti za mashabiki, maoni na taarifa kutoka viwanjani.
Habari na taarifa kutoka GM FM
Sikiliza GM FM moja kwa moja kupitia internet ukiwa popote duniani.
Taarifa zinazogusa maisha ya wananchi.
Pata taarifa za michezo kutoka Tanzania na nje.
Timu ya GM FM 97.3
THE BIG MORNING
JAMVI
FLAVOUR 360
THE DRIVE
GM FM Radio ni kituo kinachowaleta pamoja wasikilizaji kupitia habari, burudani, michezo, elimu na mijadala mbalimbali inayogusa jamii.
Kutoka Nyakato, Musoma, Tanzania, tumekufikia kwa kishindo kupitia FM na pia online.